GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Master of disguise passesIt has gone different from the way many expected
Sawa ata game ya Lyon mlisema ivyo ivyoNaona tu ila in short Barça hawezi chukua kombe hili.
Sasa jana juventus amecheza nn mbele ya ajax?barca hawana mpira wa kuchukua kombe, kati ya juve, na man city mmoja ndio bingwa
barca hawana mpira wa kuchukua kombe, kati ya juve, na man city mmoja ndio bingwa
I tell it but it cant afford to understand
Kwahiyo Padri Mcharo siku hizi unajiita Mama Debora?Nyinyi kunguni mkifungwa 3-1 nitafurahi sana. Nawapenda Man U kwa kuwa mume wangu pia anawapenda. ingawa personally mie ni Madrid Fan since niko binti chuo UDSM.
Yaani naombea mpigwe 3-1 nitamvulia chupi mume wangu siku 3 mfululizo nampa mambo tu.
Game ya pili tunatafuta draw tu.
Man City amefungwa moja bila. Barca ameshinda moja bila. Ila wewe unaona Barca ndio hana uwezo wa kushinda kombe, unafikiri sawa sawa kweli?barca hawana mpira wa kuchukua kombe, kati ya juve, na man city mmoja ndio bingwa
Nyie Barcelona goli lenu kafunga nani?
Assist by nani????
CAG Prof Assad
Tell them,Fikiria na Messi asingetoa ile assist kwa Suarez ingekuwaje?
This. Is. Barça.
️ A goal after a move that involved every Barça player


Usianzie huko....anzia hapa kwa sagio mana yy ndy kiin!! Jamaa angeamua kumrudshia kipa
Naona tu ila in short Barça hawezi chukua kombe hili.
I Tell them,This. Is. Barça.
️ A goal after a move that involved every Barça player
#WeColorFootball
View attachment 1068602
Niseme ukweli,liverpool ndo atabeba hili kombe.
Mm mwenyewe nmeshtuka Sana kuona hiloKwahiyo Padri Mcharo siku hizi unajiita Mama Debora?
Aisee dunia ina maajabu!
- KANA -
Labda Liverfool au Liver'puli"Niseme ukweli,liverpool ndo atabeba hili kombe.