FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hata kama man u mtaitoa pale spain.....kwa liverpool inabd mjipange zaid. Game ya leo ilibeba tension kubwa sana na limepatikana narrowly goal la kujifunga....yote sawa mana hilo gol limetokana na pressing mliofanya

Nani amehusika na hilo goli??

Pia Liverpoor mwepesi sana....
 
Aliyehusika na lile goli ni Sergio Busquets mana yy ndy alitengeneza mazingira ya goli kutokea. Fikiria jamaa angeamua kurudsha nyuma ule mpira na asimpe mess mpira!! Shida unakuza kitu ambach sio


Fikiria na Messi asingetoa ile assist kwa Suarez ingekuwaje?
 
Nyinyi kunguni mkifungwa 3-1 nitafurahi sana. Nawapenda Man U kwa kuwa mume wangu pia anawapenda. ingawa personally mie ni Madrid Fan since niko binti chuo UDSM.

Yaani naombea mpigwe 3-1 nitamvulia chupi mume wangu siku 3 mfululizo nampa mambo tu.

Game ya pili tunatafuta draw tu.
Wewe kiroboto hujambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom