FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Predicted line-ups
Barcelona: Ter Stegen, Semedo, Pique, Lenglet, Alba, Busquets, Rakitic, Arthur, Messi, Suarez, Coutinho
 
Jinsi alivyo mpraise semedo last time, sijui kama atamtoa leo..

Roberto na dembele wakiingia kipindi chapili nadhani wanaweza sana kuipa presha man kwa kasi na mashambulizi yao, japo wengi wanapredict dembele kuanza.. Japo naona atokee njee baada ya kuusoma mchezo hasa pale coutinho atakapoanza kuchoka.

Leo kipigo kinawahusu

Hope tutawapiga kamanda wangu, nami nilitamani mno Dembele aanze..
 
Nachowapendea Man U kwenye mechi za kufa kupona kama hizi wanabadilikaga kabisa.
Wanakuaga na Vibe flani dizain kina Atletico, ngoja tuone!!
Nessi asipotembeza ulimi ardhini leo sijui tu, kwanza naombea apigwe kiwiko cha usoni bahati mbaya atoke nje mapema.
 
@Mama Debora mbona ina roho mbaya? Unamwombea Masiah mabaya? Trust me leo United lazima achakazwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachowapendea Man U kwenye mechi za kufa kupona kama hizi wanabadilikaga kabisa.
Wanakuaga na Vibe flani dizain kina Atletico, ngoja tuone!!
Nessi asipotembeza ulimi ardhini leo sijui tu, kwanza naombea apigwe kiwiko cha usoni bahati mbaya atoke nje mapema.

Time will tell mkuu....alafu unamuombea king aumizwe 🤣🤣🤣...huyu huyu King asiekabika
 
IMG_20190416_194839.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom