Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Alisha sema hawezi m risk huyu kama alivyo fanya na lyon.. Reserved kwa mechi ya pili
Nadhani Ernesto Valverde akimkosa Dembele mara nyingi hutumia 4-4-2 ambao ni defensive system by nature, hasa katika game tough kama hii lakini Kwa sababu game ijayo ana uhakika wa uwepo wa Dembele nadhani atachukua 4-3-3 ili kufunga magoli mengi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app

