FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mfalme kazini
1549012014495.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
halafu huyu jamaa huwa anajuaje kama mpira nikiuweka sehemu fulani basi mwenzangu atapita.
View attachment 1010309
Anajua maana yeye ana jicho la tatu! Macho yake ni kama Tenga kila upande anaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
halafu huyu jamaa huwa anajuaje kama mpira nikiuweka sehemu fulani basi mwenzangu atapita.
View attachment 1010309
Mfalme anachojua yeye ni mpira tu mpaka kuna muda nawazaga Hawa vijana wa kileo kwanini hawamwangalii hata clip zake ili kujifunza hata kufunga one on one
 
Kuna scout moja imefanyika brazil, barca b wamesaini dogo 19 kama ST...

Sasa na huyu nae ni mbrazil naona anachukua namba ya Suarez! Huyu sijamjua kabisa
Nimeona tumemsaini mtu wa kuitwa Todibo na kapewa jezi namba 6, anaemfaham atupatie details!

- KANA -
 
Kuna scout moja imefanyika brazil, barca b wamesaini dogo 19 kama ST...

Sasa na huyu nae ni mbrazil naona anachukua namba ya Suarez! Huyu sijamjua kabisa
Todibo ni beki wa kati huyu na itakuwa back up ya baba shakira. Amesainiwa kutoka klabu ya ufaransa alimaarufu kama "Toulouse". Ilikuwa aje Mwezi July mosi 2019. Baada ya kuona amesaini mkataba na Barca kama free agent, Toulouse hawakufurahia maana alikataa kuongeza mkataba nao. Ili kumkomoa walimrudisha timu "B" (ya watoto) kwa muda wote uliokuwa umebakia (January-July 2019), Barca wakaona kiwango chake kitashuka hivyo wakaamua aje January hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom