FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tunakukaribisha kwa mikono miwili denis
IMG-20190131-WA0017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arthur Mello improves so brilliantly,anaacha back passing na ku focus high on the pitch (naiona image ya Xavi) ,so it's about penetration balls to hapa na jicho kama la eagle

Jamani match ya jana nimeiona UEFA inatua Camp Nou
Boys were so stimulated and motivated to pass balls, Jana the foundation philosophy ya Lamasia Cantera "get the ball pass the ball" nimeiona kwa macho yangu
Itakuwa xavi anampigia simu dogo kumpa maujuzi maana keshaona hiyo ndio copy yake

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Magazine za Catalonya-zinasema kuchezea Barca is more then kujua kucheza soccer-defence and midfield ni lazima ujue ku read the game na uwe na positional sense ndio maana watu kama Pique na Umtiti hardly sweat at all- Semedo of late nae anaanza kuingia kundi hili,midfield unaona Basquets na Raktic wapo wapo tu lakini wanaoil machine efficiently-huko mbele gazette linasema ndio lifeblood ya timu in so long Messi yupo anything can happen any moment
 
Nimekuwa nikiisoma haya makala yako fupi kwa sauti ya Oumulkheri amidou wa Deutsche Velle(DW) akifanya udondozi wa magazeti toka Bonn, ujeremani.
Much interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magazine za Catalonya-zinasema kuchezea Barca is more then kujua kucheza soccer-defence and midfield ni lazima ujue ku read the game na uwe na positional sense ndio maana watu kama Pique na Umtiti hardly sweat at all- Semedo of late nae anaanza kuingia kundi hili,midfield unaona Basquets na Raktic wapo wapo tu lakini wanaoil machine efficiently-huko mbele gazette linasema ndio lifeblood ya timu in so long Messi yupo anything can happen any moment
Ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi msimu wake wa mwisho anaenda marekani kumslizia umri
Mkuu haya n:
Mawazo yako?
Ndoto?
Shauku yako?
Hamu yako?

Ukisoma historia ya messi tangu utoton til 2date utagundua kuwa Jamaa hana wazo wala hajawahi kuwa na wazo la kucheza soka nje ya Barcelona.
Kwa Messi Barcelona means everything.

Na kwa style ya uchezaj wake unaweza kumuona Messi akisakata kabumbu Barca hata akiwa na umr wa miaka arubaini huko.
N nadra kutenganisha damu ya Messi na Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom