Tulia wewe sisi ni master over turnerMnapigwa ugenini mnamalizia nyumbani!!
IPO siku itakuwa kinyume wakuu
Halafu ile team sio ya mchezo kiivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda, Imeniuma sana hiyo 120M kwa coutinho,yani haiendani nae kabisa wakati kuna wachezaji wazuri zaidi yake kama Dybala, Christian eriksen, Kevin De bruyne, James rodriguez and De maria....
Huwa najiuliza sana walifikiria nini kusajili hii mizigo! Sipati jibu....
Coutinho
Boateng
Malcom
Gomez
Paulinho
Huyu kocha amefanya Barcelona ishuke thamani, zamani ilikua ni fahari kuchezea Barcelona na wachezaji wengi nyota walikua wanajivunia hilo. Leo hii mambo yamebadilika kuna wachezaji wanasajiliwa wanatuacha midomo wazi.Coutihno yuko poa tu.
Hapo shida ni Valiverdi ameshindwa kumtumia inavyotakikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshinda moja hadi sasa hiviMa fans wenzangu wa Barca mambo vip?
Nini kinaendelea kwenye timu etu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maengineers wa girona wanasoma namba tu ukoMa fans wenzangu wa Barca mambo vip?
Nini kinaendelea kwenye timu etu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Semedo