FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Arthur Mello improves so brilliantly,anaacha back passing na ku focus high on the pitch (naiona image ya Xavi) ,so it's about penetration balls to hapa na jicho kama la eagle

Jamani match ya jana nimeiona UEFA inatua Camp Nou
Boys were so stimulated and motivated to pass balls, Jana the foundation philosophy ya Lamasia Cantera "get the ball pass the ball" nimeiona kwa macho yangu
 
Lile goli ya messi... Ji si lilivyo tafutwa, zile pasi za kwenye box hadi kumkuta messi hahahahaha

Sijui mesi alimwambia yule jamaa achaaa....

Sijui ile penetration ya ya Suarez aliipiga akasema dogo avha mpira wa messi huu..

Soo beautiful to watch....

We are Barcelona
Arthur Mello improves so brilliantly,anaacha back passing na ku focus high on the pitch (naiona image ya Xavi) ,so it's about penetration balls to hapa na jicho kama la eagle

Jamani match ya jana nimeiona UEFA inatua Camp Nou
Boys were so stimulated and motivated to pass balls, Jana the foundation philosophy ya Lamasia Cantera "get the ball pass the ball" nimeiona kwa macho yangu
 
Hawa watu hawaaaa....!
Haya matokeo yamenikumbusha yale ya PSG

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20190131_035538.jpeg
 
ON this showing I don't think kama kuna kombe mwaka huu ambalo Barca atakosa-utafikiri uko kwenye playstation- Coutinho today lived up to his price tag-Asante Messi kwa jitahada zako za kumfanya Coutinho arudishe confidence yake kwa kuumpa penalt.Kuna lile goal ulipigwa mkeka wa nguvu Mr nusura avunje screen
Kwa kweli treble this yr itakua poa sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arthur Mello improves so brilliantly,anaacha back passing na ku focus high on the pitch (naiona image ya Xavi) ,so it's about penetration balls to hapa na jicho kama la eagle

Jamani match ya jana nimeiona UEFA inatua Camp Nou
Boys were so stimulated and motivated to pass balls, Jana the foundation philosophy ya Lamasia Cantera "get the ball pass the ball" nimeiona kwa macho yangu
Yeah, hiyo "get the ball pass the ball" kiulaini waweza sema "mpe yule, mluke yule"...very entertaining football....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ON this showing I don't think kama kuna kombe mwaka huu ambalo Barca atakosa-utafikiri uko kwenye playstation- Coutinho today lived up to his price tag-Asante Messi kwa jitahada zako za kumfanya Coutinho arudishe confidence yake kwa kuumpa penalt.Kuna lile goal ulipigwa mkeka wa nguvu Mr nusura avunje screen
Vile visigino vilivyopigwa ndani ya box mpaka kulipata goli la Messi haikua poa. It was actual bullying!

- KANA -
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom