Kwa midfielder ability za Barcelona dogo anafaa sana. Ana zile anticipation run zake nzuri sana, shot zake ni powerful and accurate. Sijui kwanini Barcelona wanamchunia.Hivi huyu dogo Rodrigo wa Valencia nimekua nam scout tangu last season 2017-18 ,kuanzia Valencia hadi national team Spain sasa nyie wakuu mnamuonaje
Vipi anaweza akatufaa kama striker?(replacement ya Suarez aki underperform)?
Hafai midfield anatakiwa awe striker ana speed na creativity fulani hivi however goal scoring ratio yake ni moderateKwa midfielder ability za Barcelona dogo anafaa sana. Ana zile anticipation run zake nzuri sana, shot zake ni powerful and accurate. Sijui kwanini Barcelona wanamchunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ability ya midfielders za Barcelona anafaa kwa sababu ya run anticipation zake zinavyoweza kulink na midfielder passes. Simaanishi anafaa kuwa midfielder umenimissquote.Hafai midfield anatakiwa awe striker ana speed na creativity fulani hivi however goal scoring ratio yake ni moderate
Unakumbuka enzi za Aleix Sanchez?tutamchezesha kama enzi zileKwa ability ya midfielders za Barcelona anafaa kwa sababu ya run anticipation zake zinavyoweza kulink na midfielder passes. Simaanishi anafaa kuwa midfielder umenimissquote.
Sent using Jamii Forums mobile app
hmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
halafu huyu jamaa huwa anajuaje kama mpira nikiuweka sehemu fulani basi mwenzangu atapita.
View attachment 1010309