BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,020
- 8,480
Yaani huu uzi sijui hata nisemeje
Mkuu karibu sana, ujionee utamu wa tim yetu FC BARCA, hususan mfalme wa soka kuwahi kutokea, LEO 10
Yaani huu uzi sijui hata nisemeje
Anajua maana yeye ana jicho la tatu! Macho yake ni kama Tenga kila upande anaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam naaam! Hakika ahsanteMkuu karibu sana, ujionee utamu wa tim yetu FC BARCA, hususan mfalme wa soka kuwahi kutokea, LEO 10
Nawahurumia, msimu huu wanaweza kula vipigo vinne kutoka kwetu!
- KANA -
Mfalme anachojua yeye ni mpira tu mpaka kuna muda nawazaga Hawa vijana wa kileo kwanini hawamwangalii hata clip zake ili kujifunza hata kufunga one on one
Match prediction Valencia wanajezi nyeupe if u know ,you know hapa leo wanakung'utwa goli 4
We acha tu ,Messi kama kawaida akafanya mambo yake na huko Atletico Madrid amenyooshwa so gap la point limeongezeka 50 kwa 44 so we still at top of the league defending our championshipBarca 2 2 Madrid
We acha tu ,Messi kama kawaida akafanya mambo yake na huko Atletico Madrid amenyooshwa so gap la point limeongezeka 50 kwa 44 so we still at top of the league defending our championship
4GView attachment VID-20190131-WA0000.mp4View attachment 1014806
My prediction today;
Barca 4-0 Madrid, King lazima atupie kama sio hatrick basi 2 goals.....
Zbc2 , hii ni kweli au? Maana Sijawahi kuona Copa Del Rey kwenye hiyo Chanel?.ZBC2, kwenye king'amuzi cha azam kama unacho
Zbc2 , hii ni kweli au? Maana Sijawahi kuona Copa Del Rey kwenye hiyo Chanel?.
Sent using Jamii Forums mobile app