Bombardear
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 241
- 193
Burma sport app lkn bado wanaonyesha mechi ya betis na espanyol baada ya kutoka sare na hivyo kuongezewa mda
Burma sport app lkn bado wanaonyesha mechi ya betis na espanyol baada ya kutoka sare na hivyo kuongezewa mda
Hahah !!!Huyu Umtiti kwani kazaliwa wapi?mbona nasikia anautibu mguu kwa dawa za kienyeji!!!!! Haya mambo ya dawa mbadala atuachie sisi tuliozaliwa deep inside sukumaland
Kwa hiyo unataka kusema injury yake ni nasty and nagging kiasi kwamba his career might be done!? This is Scarry.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni prophet Mkuu.aya nilisema goli ngapi?5
sija enjoy sana mpira ,internet yangu inakwama sana