FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Experience yangu juu ya posts zako kwenye uzi wenu wa madridiots, inaniambia "YOU DON'T DESERVE THE PRIVILEGE OF MY RESPONSE".

- KANA -
Naona kazi imeanza
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
 
Bei aliyouzwa na aliyonunuliwa hazipishani mkuu, Timu kama Barca huwezi kuwa na mchezaji ka Paulinho halafu uwe unategemea kitu kwake. Jamaa kimeo na katika kosa kubwa walilofanya Brazil ni kumpa namba kwenye world cup. Alikua always worst player on the pitch. Barca inahitaji world class players in order wawe na ubora unaohitajika kwa tim kama yao nasio magarasa.

Kweli kabisa,Barca walichemsha kwa paulinho.
 
Wakuu, Valverdi ni floppy sijapata kuona.
Ameamua kuuua vipaji vyetu. Ameshindwa kumtumia Coutihno. Kifupi uwezo wa kutumia wachezaji ni mdogo sana. Rotation policy yake ni very poor na hata anapofanya sub zinashindwa kupindua matokeo tofauti na msimu uliopita.

Alafu anajibu kirahisi tu "lazima tupindue matokeo second leg". Swali, nini maana ya kupumzisha wachezaji (Messi, Busquet) kama game ya pili unataka watumie nguvu nyingi kupindua matokeo? Si bora wangetumika game ya kwanza kujipunguzia mzigo!!!!.

Ana Vision kubwa ya kushinda makombe 3 (Uefa, Ligi na CD) kwa mkupuo msimu huu lakini namna (means) ya kufikia vision hiyo ni butu kuliko kawaida.

Atimuliwe tu maana hamna namna nyingine sasa, uongozi unasubiri nini? Au mpaka yaje kutokea kama ya msimu uliopita????.



Sent using Jamii Forums mobile app

Anatuharibia tim yetu huyu babu
 
No king no party, huyu babu afukuzwe tu hamna namna, inamaana hakujifunza mechi ya LEVANTE tulipigwa goli 2! Second leg tulishinda goli 3 kwa msaada wa Messi. Yani halioni hilo!!!!! Nimetokea kumchukia sana huyu babu
aaaaaaaahhh
kwann asingepanga kikosi kuntu first leg alaf second leg ndo angeenda na kikosi cha kutest vimitambo vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodi ya usajili Barcelona inaona mbali sana. Unajua timu ya Barcelona ilikosa wachezaji wenye motivation and warrior mentality.

Wale wachezaji ambao ni bad boys wenye roho mbaya, wasio crack wakiwa under pressure wala wakipakiwa matusi kutoka kwa uwanja mzima wa timu pinzani. Imezoeleka wachezaji wa barca wana technicality na skills huku wakiwa gently and humble muda wote wa mchezo hivyo ukiwachezea undava wanafarakana na kutoka mchezoni na hawana mchezaji wa kuresist na kutuliza hiyo hali na wanajikuta kwenye hatari ya kufungwa easily.

Bodi ililiona hili wakati Barcelona inatolewa na Roma kule Italy, wachezaji wa Roma waliwafanyia bullying wachezaji wa Barcelona kwa soka la undava na hakuwepo wa kuresist mwishowe tukaishia kula kichapo evi.

Baada ya kuliona hilo bodi ikaona itafute wachezaji wale ambao kule mtaani hata mama zetu walikuwa wanatuonya tusicheze nao, watoto wenye roho mbaya na ngumu. Na hao wachezaji ni Arturo Vidal na Kevin Prince Boateng.

Ujio wa Boateng ni kuungana na arturo Vidal, pamoja na Suarez kuzima kila jaribio la undava uwanjani na nje ya uwanja.View attachment 1003013

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata YANGA SC kuna wachezaji mandava kuliko boateng suarez ba vidal. Kuna HAJIB na YONDANI vipi hawa wanaweza kufaa wakat wa majira joto
 


Kamanda, Imeniuma sana hiyo 120M kwa coutinho,yani haiendani nae kabisa wakati kuna wachezaji wazuri zaidi yake kama Dybala, Christian eriksen, Kevin De bruyne, James rodriguez and De maria....

Huwa najiuliza sana walifikiria nini kusajili hii mizigo! Sipati jibu....
Coutinho

Boateng
Malcom
Gomez
Paulinho
 
Kamanda, Imeniuma sana hiyo 120M kwa coutinho,yani haiendani nae kabisa wakati kuna wachezaji wazuri zaidi yake kama Dybala, Christian eriksen, Kevin De bruyne, James rodriguez and De maria....

Huwa najiuliza sana walifikiria nini kusajili hii mizigo! Sipati jibu....
Coutinho

Boateng
Malcom
Gomez
Paulinho
Itakuwa una illness in your mind coutinho ni bonge la fundi sema hatuna kocha tu inatakiwa ujue hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coutinho naona yuko poa, sijajua ni mfumo au vipi..
Kamanda, Imeniuma sana hiyo 120M kwa coutinho,yani haiendani nae kabisa wakati kuna wachezaji wazuri zaidi yake kama Dybala, Christian eriksen, Kevin De bruyne, James rodriguez and De maria....

Huwa najiuliza sana walifikiria nini kusajili hii mizigo! Sipati jibu....
Coutinho

Boateng
Malcom
Gomez
Paulinho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom