FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu kocha wetu mizinguo sana. kwanini alimuuza yeri Mina?? na Denis Suarez kauzwa kwa mkopo arsenal.. ila kasaini mkataba barca..
 
Sijui kwanini tu nina bad feeling about today's match!

Sijawahi kua doubtful namna hii. Eti nahisi inakua 3-1.

Anyway, all the best.

Visca Barca

- KANA -
 
naombeni link mapema...hizi match za copa de ley zinatesa

leo sevilla anakunywa goli 5 anaebisha apinge
 
No king no party, huyu babu afukuzwe tu hamna namna, inamaana hakujifunza mechi ya LEVANTE tulipigwa goli 2! Second leg tulishinda goli 3 kwa msaada wa Messi. Yani halioni hilo!!!!! Nimetokea kumchukia sana huyu babu

Huyu mzee ni fala kweli , na leo sijui kama tutatoka maana sevilla si kama levante


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom