Huyu refa katokea madrid, sio bure!
- KANA -
Haiwezekani Coutinho awe flop hivi-inabidi Velverde atumie ujuzi wake wa coaching amrudishe ktk form-sijawahi ona Brazilian player hana swagga
Hata mimi nashangazwa sana na fall ya Coutinho but probably anaweza kuwa alikuwa overrated mbona li Suarez huwa linafall then lina bounce back harder than ever before in a very short period kwa magolazoooo ya hatari!?Haiwezekani Coutinho awe flop hivi-inabidi Velverde atumie ujuzi wake wa coaching amrudishe ktk form-sijawahi ona Brazilian player hana swagga
Hata mimi nashangazwa sana na fall ya Coutinho but probably anaweza kuwa alikuwa overrated mbona li Suarez huwa linafall then lina bounce back harder than ever before in a very short period kwa magolazoooo ya hatari!?
Dembele kila siku anatuprove wrong, Arthur yeye ndio tumeshamuaminia amebakiza ishu moja tu ya kupiga Penetration pass kwa usahihi ishu ambayo ni solvable.
Coutinho asitake kutafuta sympathy ya watu kwa kumsingizia Valverde akae ajue Barcelona ni timu kubwa inayodemand good consistency performance na washabiki wana intensity kubwa ya kutaka kuona value ya fee aliyonunuliwa so he must wake up now unless ataenda Malaga kwa mkopo soon.
Nimemuona game ya leo hana concentration wala confidence kama wenzie anaruka ruka tu. Anakosa magoli ya wazi recklessly.
No excuses, Coutinho adeliver quality soccer kama wenzie wa waliopita Barcelona wakitoka huko kwao Favela para Joga bonito.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Lile goal aliokosa baada ya kutanguliziwa mpira- ni criminal kwa mbrazili kukosa
Lile goal aliokosa baada ya kutanguliziwa mpira-ni criminal kwa mbrazil yoyote kukosa
Sure! Ile chance mchukue Ronaldo de Lima na kitambi chake na ulevi wake wote wa sasa changanya na horrible injury zote alizopata huko Italy pale asingewakosa ng'odo.Lile goal aliokosa baada ya kutanguliziwa mpira-ni criminal kwa mbrazil yoyote kukosa
Zinatokea siku moja moja zile, mbona Suarez n Messi wamekosa nafasi za wazi kuliko ile leo???Hata mimi nashangazwa sana na fall ya Coutinho but probably anaweza kuwa alikuwa overrated mbona li Suarez huwa linafall then lina bounce back harder than ever before in a very short period kwa magolazoooo ya hatari!?
Dembele kila siku anatuprove wrong, Arthur yeye ndio tumeshamuaminia amebakiza ishu moja tu ya kupiga Penetration pass kwa usahihi ishu ambayo ni solvable and learnable.
Coutinho asitake kutafuta sympathy ya watu kwa kumsingizia Valverde akae ajue Barcelona ni timu kubwa inayodemand good consistency performance na washabiki wana intensity kubwa ya kutaka kuona value ya fee aliyonunuliwa so he must wake up now unless ataenda Malaga kwa mkopo soon.
Nimemuona game ya leo hana concentration wala confidence kama wenzie anaruka ruka tu. Anakosa magoli ya wazi recklessly.
Coutinho ni professional inabidi ajue namna ya kujiadjust ili kulinda namba yake national team na Barcelona. Mtoto kama dembele alianza kucheza magame all night long na watoto wenzie na ikataka kumletea shida professionally ila automatically ametulia achezi magame hovyo usiku analala mapema anawahi mazoezini hence anadeliver vizuri uwanjani. Its self determination ndio itamfanya Coutinho arudi kwenye peak yake na sio valverde.
No excuses, Coutinho adeliver quality soccer kama wenzie wa waliopita Barcelona wakitoka huko kwao Favela para Joga bonito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kocha hatufai tena!Huyu kocha amefanya Barcelona ishuke thamani, zamani ilikua ni fahari kuchezea Barcelona na wachezaji wengi nyota walikua wanajivunia hilo. Leo hii mambo yamebadilika kuna wachezaji wanasajiliwa wanatuacha midomo wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Coutihno anatumia nguvu zaidi kuliko akili. Sidhani kama alipaswa kubutua kama alivopiga. Ilikuwa pasi mpenyezo yaani "penetration pass". Hizo wanapiga wachache sana " Xavi" ndio alikuwa fundi ari-maarufu kama "pass master"...Mess anatoa pasi ya hela kwa kotinyo
Kotinyo anakosa
Suarez kukosa goal kama lile hamna cha kushangaa-but Coutinho mtu ana microchip ya brazilian soccer kichwani!!!!!!Zinatokea siku moja moja zile, mbona Suarez n Messi wamekosa nafasi za wazi kuliko ile leo???
Anyway Coutinho toka tunamleta pale nilitegemea atakuja zingua kidogo.... He is not a player of our type. Hanyumbuliki na ni muumini wa mashuti shuti zaidi kuliko kutulia na kufunga kwa akili.
Sema excuse zake za kumsingizia coach ndo ujinga zaidi. Bado anaweza jifua na kuwa moto Barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Umtiti kwani kazaliwa wapi?mbona nasikia anautibu mguu kwa dawa za kienyeji!!!!! Haya mambo ya dawa mbadala atuachie sisi tuliozaliwa deep inside sukumaland





wanasema ana career ending injury-yeye kakomaa on therapy na stem cell placement
Umtiti mwenyewe amekaa kingoshangosha!
- KANA -