daah dogo anatisha now kinoma noma
It was lovely football from Barcelonavipi wakuu tunacheza vizuri?
Naona technical director wa Barça amechoka Kazi. Yaani wanataka kumtoa Malcom plus fedha kwa ajili ya William aliyechoka huko Chelsea. Juzi hapa wamemleta Beki naye haeleweki. Aina ya wachezaji Barça inawasajili kwa sasa viwango vyao Vipo chini Sana View attachment 992392
Sent using Jamii Forums mobile app
Another oneHuyu nadhani ana tatizo kubwa na bodi isipoingilia kati mapema timu ataingiza matatizoni, mbali na kumtaka willian kuna tetesi kua anamtaka Giroud(hiki nacho ni ktuko kingine cha usajili).
Hahaaaa basi Barca imeishiwa sanaNimeona mahali Boateng ana board ndege sasa hivi kuelekea Barcelona on loan hadi mwisho wa msimu
Duuuu
Mimi namuona huyu ni mzito sana-i could be wrongNimeona mahali Boateng ana board ndege sasa hivi kuelekea Barcelona on loan hadi mwisho wa msimu
Duuuu
Goal wanaa naoNimeona mahali Boateng ana board ndege sasa hivi kuelekea Barcelona on loan hadi mwisho wa msimu
Duuuu