Bullava
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 618
- 1,002
Jamani...vipi Alvaro Morata aje Barca?dogo Munir El Haadad transfer ya sevilla imeshafanyika ,we need immediate replacement
400 Laliga goals :Messi
Sio mchezo Messi katika historia ya Laliga anaandikwa kwa kalamu ya dhahabu ,historia hizi ya kufuta record alianza mwaka 2014 pale alipovunja record ya Telmo Zara ya magoli 255 ambaye alikua nominated kama father wa laliga.
Unajua historia hii ilidumu kwa muda wa miaka mingapi?Aya chukua calculator uanze ku calculate kuanzia mwaka 1956 (Tanzania kabla haijapata uhuru) hadi 2014 = unapata 58 years ,aliweza kuivunja kijana wa miaka 26 na slogan kipindi kile anaelekea kuivunja record watoto wa Barca tuli title kama "I WAS THERE ",siku hiyo mnamo mwezi November alipiga hatrick na ku surpass record kwa magoli mawili zaidi
Leo hii mfalme huyu mpya tangu 2014 anaendelea tu kuivunja record yake kwa kuongeza magoli 155 zaidi kutoka gap la Telmo Zara na kutengeneza mazingira magumu kwa mtu ambaye atathubutu kuvunja huu mwamba
Usishangae watu wengine wakiwa wamekimbilia league ya wazee Italy waliona mbele wanakabiriwa na mtihani gani
Today ...Messi anafunga goli na am here counting 400 goals
Tchaooo
Lionel Messi in LaLiga:
435 Games
400 Goals
162 Assists
La Liga
La Liga Best Forward
La Liga Best Player
La Liga Top Goalscorer
La Liga Most Assists
La Liga All-Time Top Goalscorer
La Liga All-Time Most Assists
King of football, Messi10.400 Laliga goals :Messi
Sio mchezo Messi katika historia ya Laliga anaandikwa kwa kalamu ya dhahabu ,historia hizi ya kufuta record alianza mwaka 2014 pale alipovunja record ya Telmo Zara ya magoli 255 ambaye alikua nominated kama father wa laliga.
Unajua historia hii ilidumu kwa muda wa miaka mingapi?Aya chukua calculator uanze ku calculate kuanzia mwaka 1956 (Tanzania kabla haijapata uhuru) hadi 2014 = unapata 58 years ,aliweza kuivunja kijana wa miaka 26 na slogan kipindi kile anaelekea kuivunja record watoto wa Barca tuli title kama "I WAS THERE ",siku hiyo mnamo mwezi November alipiga hatrick na ku surpass record kwa magoli mawili zaidi
Leo hii mfalme huyu mpya tangu 2014 anaendelea tu kuivunja record yake kwa kuongeza magoli 155 zaidi kutoka gap la Telmo Zara na kutengeneza mazingira magumu kwa mtu ambaye atathubutu kuvunja huu mwamba
Usishangae watu wengine wakiwa wamekimbilia league ya wazee Italy waliona mbele wanakabiriwa na mtihani gani
Today ...Messi anafunga goli na am here counting 400 goals
Tchaooo
Stuani umri umeendaGiroud aje Barcelona ipi?Barca B au team ya wanawake?
Kijana Stuani kutoka Girona ndie recommended replacement ya Munir kama sub ya Suarez
Karudi kwenye form kwa kiwango cha std gauge.Watu wote humu ndani mliosema Suarez is past it-tunaomba mnyoshe mikono juu.