BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
My prediction today, Barca 3-0 Getafe
Messi kama kawa, 2 goals zinamhusu
Messi kama kawa, 2 goals zinamhusu
Nimejaa tele- Madrid wananikasirisha,they are making things too easy for usHeri ya mwaka Jack upo?
Because they are always not our opponentNimejaa tele- Madrid wananikasirisha,they are making things too easy for us

kikosi vipi leo wakuu. Hawa Levante siyo watu wa kubeza.
Hivi hawa Levante wana nini na Barcelona?
La liga Barcelona walimpiga levante kwao 5 _0, so ni swala la muda trh 17 levante atakufa zaidi ya 4 camp nou.
Sent using Jamii Forums mobile app