FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Me naona bora hata tungemchukua Morata kwa style hii ,wangetazama vitu in a big picture ya soccer la Spain(kuendeleza talents zao)
 
Tech team inaamini kwakuwa na uzoefu wa ligi zote kubwa duniani, atafanya vizuri.
Japo stats zake sio nzuri sana, jamaa ana control na pass matata za kijuaji sana inshallah anaweza kutupa kitu let's hope..
Ni back up ya Suarez baada ya kuondoka dogo Munir El Hadaad to Sevilla
So anacheza namba 9,kuna club hapo Spain alikua anacheza kabla ya kwenda Sossullo huko Italy
 
Tech team inaamini kwakuwa na uzoefu wa ligi zote kubwa duniani, atafanya vizuri.
Japo stats zake sio nzuri sana, jamaa ana control na pass matata za kijuaji sana inshallah anaweza kutupa kitu let's hope..
Ana physique nzuri hiyo mimi sijkatai (ana maguvu) au Velverde ndio kapendekeza?
Tunawanyima fursa vijana wa Lamasia nani anamkumbuka Jose Anaiz?bonge la striker
 
Coacher katika style yake ya ufundishaji katika kikosi anapenda awe na wachezaji wawili wenye physique na power that's why amelazimisha Vidal na Boateng waje kikosini hua anaita "pillars of the team",inasemekana moja ya sababu tulitolewa na AC Roma UEFA,we missed it

Huo ndio utetezi wa Velverde alipotuletea flops
 
Multiple sources report De Jong is a deal done
Yeah Man. Barcelona Live pia wamepost habari hii.
IMG_20190123_110227_697.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just like Paulinho, Boateng is another suprise package for those who underestimate our board!

- KANA -

Hivi wewe ni mzima? huyo Paulinho alifanya nini pale? mboona walimuuza ndani ya mwaka baada ya kushtukia kama wameenda mchomo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom