Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Just like Paulinho, Boateng is another suprise package for those who underestimate our board!
- KANA -
Yeah timu inahitaji kuwa na wazee wa kazi hata wawili watatu hivi
Just like Paulinho, Boateng is another suprise package for those who underestimate our board!
- KANA -
labda mkuu usisahau kuwa soka n biasharaHivi wewe ni mzima? huyo Paulinho alifanya nini pale? mboona walimuuza ndani ya mwaka baada ya kushtukia kama wameenda mchomo
Sote ni mashahidi, madogo wa La masia mechi za copa del rey bado zinawatoa jasho mpaka watu wazima waingilie.Yeah timu inahitaji kuwa na wazee wa kazi hata wawili watatu hivi
labda mkuu usisahau kuwa soka n biashara
so cha kucalculate zaid n kuwa paulinho alnunuliwa kwa hw much na akauzwa kwa hw much ndo utabaini kama board ilijshtukia kufanya makosa au la
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge a'deal Mkuu.
De jong officially, binafsi niliitaj sana huu usajiriView attachment 1002949
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbele kwa mbele pataji-adjust tu automatically Mkuu. Huyu dogo yuko poa sana. Pacha wake pia de ligt angetufaa muno kwa ujenzi wa Barca ya kesho....De Jong in da house......
Eric Abidal does somethings lakini katikati si patakua congested?
I see a promising BarcelonaView attachment 1002977
Me siamini ,tuliuuza store kama wachezaji wa tano hivi last summer ,bila kununua sana (tulimnunua Lenglet na Malcom basi),labda tuuze kwa sababu ya technical reason ,huyo Boateng mwisho wa msimu anarudi kwao ..na Malcolm tukimuuza biashara inakua safi kabisa....Barcelona wanahesabu kali sana ,trust me mwisho wa msimu atachukuliwa striker kwa hela ndefu....ku balance attacksRadio za Spain zinasema,Barca itabidi wa balance books-kwa hiyo kuna majina makubwa itabidi yauzwe
lete namatokeo ngapi ngapi
duu hatari
Nakusoma tu mwl Kashasha.Bodi ya usajili Barcelona inaona mbali sana. Unajua timu ya Barcelona ilikosa wachezaji wenye motivation and warrior mentality.
Wale wachezaji ambao ni bad boys wenye roho mbaya, wasio crack wakiwa under pressure wala wakipakiwa matusi kutoka kwa uwanja mzima wa timu pinzani. Imezoeleka wachezaji wa barca wana technicality na skills huku wakiwa gently and humble muda wote wa mchezo hivyo ukiwachezea undava wanafarakana na kutoka mchezoni na hawana mchezaji wa kuresist na kutuliza hiyo hali na wanajikuta kwenye hatari ya kufungwa easily.
Bodi ililiona hili wakati Barcelona inatolewa na Roma kule Italy, wachezaji wa Roma waliwafanyia bullying wachezaji wa Barcelona kwa soka la undava na hakuwepo wa kuresist mwishowe tukaishia kula kichapo evi.
Baada ya kuliona hilo bodi ikaona itafute wachezaji wale ambao kule mtaani hata mama zetu walikuwa wanatuonya tusicheze nao, watoto wenye roho mbaya na ngumu. Na hao wachezaji ni Arturo Vidal na Kevin Prince Boateng.
Ujio wa Boateng ni kuungana na arturo Vidal, pamoja na Suarez kuzima kila jaribio la undava uwanjani na nje ya uwanja.View attachment 1003013
Sent using Jamii Forums mobile app