FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
2-0 Messi10
Lazima tulipe Leo...Tumetaitiwa kishenzi.Messi tu kafanya yake hapa. 1-0 suarez.
Wakuu, mwenye link anirushie...nilizonazo zinasumbua kshenzi...
Jaribu Burma TV wako poa sana.Wakuu, mwenye link anirushie...nilizonazo zinasumbua kshenzi...
Inapatikana ktk mobdro app??Jaribu Burma TV wako poa sana.
Mobodro na hawa Burma TV wote wanatoa Huduma sawa. Wote wanaonyesha soka via live streaming. Ni sawa useme vodacom na Tigo. Hivyo haipatikani katika mobodro.Inapatikana ktk mobdro app??
Jaribu Burma TV wako poa sana.
Asante na kwako piaFull Time
L 0-5 B
Sua 1
King 3
Pique 1
Usiku mwema ndugu zangu!
Mi nacheki kupitia "Mobdro". Channel namba 3 Bein Sport
Asante na kwako pia
Unaona mapungufu gani kwa Lenglet?