Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Tafuta bando tu hadi mb200 unapata full match.. Nnampango wa kudownload piaSikubahatika kutazama game ila nafurahi tumeshinda bila kufungwa
Tafuta bando tu hadi mb200 unapata full match.. Nnampango wa kudownload piaSikubahatika kutazama game ila nafurahi tumeshinda bila kufungwa
Busquets umri unamtupa mkono.
Kuhusu combo la Dembele na Semedo, nimeshaliongelea sana. Nashukuru leo umeliona.
![]()
Tatizo valverde hapiti huku kwenye uzi mhimuKweli Mkuu, umepiga kelele sana kwamba Dembele akicheza winger ya kulia alafu beki ya kulia awepo Semedo lazima moto uwake kama jinsi ilivyokuwa jana. Majeruhi yamesaidia hadi Valverdi akawa amefanya hivyo ktk hizi game 2 zilizopita. "Everything happens for the reason" and "to every cause there is an effects"....
Nimeona hapa SS7 watairudia mida mids nahisi nitaitazama mkuuTafuta bando tu hadi mb200 unapata full match.. Nnampango wa kudownload pia
Ndiyo Mkuu. Naona Modric kabebaHivi mna habari jana ilikuwa ugawaji wa tuzo za ballon dor wazee...!
Yani king messi anakuwa wa 5 kwenye hizo tuzo zao nimechukia sana? FiFa fck you. Kama Vigezo ni world cup tu ronaldo ilibidi awe wa 6
Hiyo sio tuzo ya FIFA mkuu, walishajiondoa FIFA na Ballon d'or kila mmoja anaandaa tuzo kivyakeYani king messi anakuwa wa 5 kwenye hizo tuzo zao nimechukia sana? FiFa fck you. Kama Vigezo ni world cup tu ronaldo ilibidi awe wa 6
Ilikuwa poa tu Mkuu.Wakuu vipi tunachezaje? Nimeshindwa kucheki mechi.
Huyu wanameita Puig. Naoma anasifiwa sana. Vipi ni mkali?Ilikuwa poa tu Mkuu.
4-1 (5-1 aggregate). D. Suarez, Munir na Malcom. D.Suarez kapiga brace (2).
Huyo mtoto ni moto wa kuotea mbali. Kifupi ana DNA za kucheza Barcelona na ana talanta/kipaji cha kutosha (pure Lamasia products). Anauwezo wa kukaa na mpira, kutoa pasi za mwisho na turns za mauzi ile mbaya. Movement zake akiwa na mpira utampenda. Na kumbuka ana miaka 19 tu.Huyu wanameita Puig. Naoma anasifiwa sana. Vipi ni mkali?
naomba utafute hata highlights tu blaza... sio kwa mpira mtamu walioonyesha madogo....Wakuu vipi tunachezaje? Nimeshindwa kucheki mechi.
Nashindwa kujua kwa nini aliuzwa Yery mina akabaki LengletBarca XI Vs Espanol View attachment 960838
Unaona mapungufu gani kwa Lenglet?Nashindwa kujua kwa nini aliuzwa Yery mina akabaki Lenglet
I have seen Mina playing for Everton-i think he was not Barca materialNashindwa kujua kwa nini aliuzwa Yery mina akabaki Lenglet