FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,353
Ngoja nikilete MkuuWakuu vipi kikosi
Ngoja nikilete MkuuWakuu vipi kikosi
Wakuu game ya Leo siyo ya kukosa. Kifupi utapigwa mpira ambao siyo sayari hii kiasi cha Yule Babu wa kule America ya kusini kufuta ile "statement" yake yenye neno "less" mbele...
Nafikiri nimeeleweka, stay tuned!!!
Hiki hapa MkuuWakuu vipi kikosi
Hiki hapa MkuuView attachment 964576
😂😂😂Hii kitu imfikie yule babu mropokaji mwenye domo ka bakuli...View attachment 961785
Hii kitu imfikie yule babu mropokaji mwenye domo ka bakuli...View attachment 961785
King leo
Fala Sana uzee unamjia vibayaHana jipya huyu m-babu, akili zake anazijua mwenyewe...yeye anafikiri Messi wa kulinganishwanae...hafiki hata robo...pumbafu kabisa
Hii ni Barca C Madame. ( joke kidogo)....naona Velverde kawahurumia Spurs-King nje- Barca B