Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Nimeangalia highlights siku Messi akiacha kuitumikia Barca tuta pata tabu sana
wanataftana
Nimeangalia highlights siku Messi akiacha kuitumikia Barca tuta pata tabu sana
wanataftana
Barca kuna walinzi wanne(Jordi Alba, Samuel Umtiti, Clement Lenglet, Tomas Verlmaelen)wanaotumia mguu wa kushoto. Mechi kama ya jana baada ya Pique kucheza namba mbili walinzi wa katikati wote wawili walikua wanatumia mguu mmoja tu kitu ambacho sio afya sana na jana kulikua na makosa madogo madogo mengi yaliyotokana na beki kukatika japo hayakuleta madhara kwa sababu ya kipa. Bado naamini tulikosea kumuuza Mina anaetumia miguu yote na anaejua kuruka vichwa.
Yule Babu wa kule kusini ya America.
Mwaka jana waliniudhi sana hawa madogoKazi imeisha, 0-5 King akiwa "Man of the match" kahusika ktk magoli yote 5. Hat-trick na assist 2.
Bado tuna wasubiri kopa diley hatua ya mtoano (16 bora). Kifupi hakuna rangi wataacha kuona.
Atajuta kulopoka, na asipoangalia anaweza jitoa ktk mitandao ya kijamii maana sikwa aibu inayompata sasa. Acheki assist ya goli la kwanza na goli la pili tu (Hayo yamepatikana kwa ufundi, weredi na uwezo mkubwa wa Messi10 alionao). Maana akicheki yote anaweza poteza fahamu eti...Gazzette la Spain, Le Mundo limeandika kwamba Messi No yake ya jersey iondolewe na badala yake iandikwe "Bio Hazard" na likamuuliza Pele kama mpira ameuona?
Na bet Messi10 awe top scorer UCL na Ulaya nzima 2018/19, alafu tuone mwakani kama wataendelea kumweka wa 5 ktk Balloon d'or ranking yao.Round of 16. Barcelona vs Lyon tumepewa hawa vibonde wa ufaransa tuwanyooshe vizuri kazi kwetu
Sana Mkuu....Mwaka jana waliniudhi sana hawa madogo
King Lionel Messi mpaka sasa bado sijaona mrithi wako nadhani bado hajazaliwa
Atajuta kulopoka, na asipoangalia anaweza jitoa ktk mitandao ya kijamii maana sikwa aibu inayompata sasa. Acheki assist ya goli la kwanza na goli la pili tu (Hayo yamepatikana kwa ufundi, weredi na uwezo mkubwa wa Messi10 alionao). Maana akicheki yote anaweza poteza fahamu eti...
Vibonde? Wamempiga man city away na kusuluhu nae home ground! Watch were your goingRound of 16. Barcelona vs Lyon tumepewa hawa vibonde wa ufaransa tuwanyooshe vizuri kazi kwetu
Olympic Lyons are hard nut to crack. Siyo vibonde kihivyo, nikuwakazia mwanzo mwisho ili kuepuka yaliyotupata msimu uliopita. Alafu ¼ fainali tukutane na Roma ili tulipe nawao wa'feel kwa pinch ile ile tuliyoipata msimu uliopita.Vibonde? Wamempiga man city away na kusuluhu nae home ground! Watch were your going
Vibonde? Wamempiga man city away na kusuluhu nae home ground! Watch were your going