Game haivutii
King wamemuingiza baaeda wakati wale dagaa mchele wameshachokaBila King haivutii...bora angecheza tu awapige 4G hawa wajomba....
bosi alisema every game is a chance to show what we have..King wamemuingiza baaeda wakati wale dagaa mchele wameshachoka
It's time to take back our prideWakuu chama kubwa nimepata tetesi kuna uwezekano wa kukutana na wale mbwa wa roma......
Nina watamani kisela, tuwapige hadi waombe poo..
View attachment 967291






Duhh! Kimya sana ndugu zangu mabibi na mabwana....hope mko wazima!
Line up ya leo...
View attachment 969970
Line app ya ajabu. Ila naona tutakaandama vibaya sana haka katimu.Duhh! Kimya sana ndugu zangu mabibi na mabwana....hope mko wazima!
Line up ya leo...
View attachment 969970
Line app ya ajabu. Ila naona tutakaandama vibaya sana haka katimu.