BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Goli la Dembele linaweza kulegeza hadi vyuma vilivyokaza huku kwa jiwe!
![]()
Kabisa kamanda, tena bila kutumia hata GLISI...
Goli la Dembele linaweza kulegeza hadi vyuma vilivyokaza huku kwa jiwe!
![]()
Pele daima anaamini mpira safi unatoka Brazil pekee. Jamaa ni fan mkubwa wa neymar hivyo ni haki yake kumuonea wivu Messi
Numbisa, nitumie goli la pili la King na mengine pia...pls my!!
Tonight ntatuma GIF kwa kila uzi, mechi zote zikikamilika MB gharama sana
HahahahahSimshangai huyu babu, kabla ya neimar hajaja Barca alishawahi kusema neimar ni bora kuliko Messi, kama zali neimar na Messi wakakutana kwenye final ya club world cup neimar akawa anarukaruka tu kama kuku aliyekatwa shingo na King alifunika vibaya mno...kama haitoshi neimar akaja kucheza na King Barca akaendelea kufunikwa mpaka akaamua kumkimbia, na King bado anakiwasha...
HahahahHii kitu imfikie yule babu mropokaji mwenye domo kubwa...View attachment 961785
Huyo mzee chizi tu, wangapi wanatumia miguu yote but hata robo hawamfikii Messi na mguu wake mmoja! Yeye amecheza kwao huko brazil hata uefa champions league haijui ugumu wake alafu anajiita mfalme wa mpira...Pumbavu kabisa...Mwenyewe hamwezi Messi hata kidogo.