Alikua anaogopa kicheza na mchezaji mkubwa Messi ila Sasa kishamzoeaDembele ameaza kuwa mtamu sana
Leo tuko extremely on fire Madame....Leo mimi namtazama Semedo tu-nataka kuona last ball yake
Kama umefuatilia kindani Lenglet yuko poa sana.Nashindwa kujua kwa nini aliuzwa Yery mina akabaki Lenglet
Barca anatakiwa a dominate games kama hivi-sio tunakuwa on the ropesLeo tuko extremely on fire Madame....
Huyu Messi ana balaa Sana jamani
Dembele ameaza kuwa mtamu sana
Naaam!!!!Huyu Messi bhana
Pele ameanzisha mgogoro mkubwa,amesema Messi hawezi kuwa all time great sababu anapiga mguu mmoja na hawezi head the ball
Hata ningekua mimi ndio Pele ningesema hivyo. Watu wanaamini wewe ndio mfalme wa soka, then anatokea bwana mdogo anafanya miujiza ya ajabu uwanjani lazima upate kijiba cha roho!Pele ameanzisha mgogoro mkubwa,amesema Messi hawezi kuwa all time great sababu anapiga mguu mmoja na hawezi head the ball