Nilikuwa na mheshimu sana Pele ila kwa kauli ile nimemchukukia sana. Yaani unatia chembe ya shaka ktk ubora wa Mfalme wa mpira duniani??? Unaanzaje kwa mfano!!! "Kenchy type"....
Hata ningekua mimi ndio Pele ningesema hivyo. Watu wanaamini wewe ndio mfalme wa soka, then anatokea bwana mdogo anafanya miujiza ya ajabu uwanjani lazima upate kijiba cha roho!
Mguu wa kushoto wa Messi ni zaidi ya kichwa na miguu yote miwili ya pele!
Alafu Pele anaongea Nini?
Brazil battle.. Hakunajipya
Pele ameanzisha mgogoro mkubwa,amesema Messi hawezi kuwa all time great sababu anapiga mguu mmoja na hawezi head the ball
Sure maana ata juzi kati kammwagia sifa kede kede huyo NeymerPele daima anaamini mpira safi unatoka Brazil pekee. Jamaa ni fan mkubwa wa neymar hivyo ni haki yake kumuonea wivu Messi
App ipi hiyo mkuu?Tafuta bando tu hadi mb200 unapata full match.. Nnampango wa kudownload pia
Sure maana ata juzi kati kammwagia sifa kede kede huyo Neymer
Pia main players wamepumzika wiki nzima so hope wako fit. Tuwe makini Tottenham nae next week anakuja kutafuta draw tu
Huyu Messi bhana
HahahahLipumbavu tu hilo zee, hapo Messi anamuonyesha pele kuwa king of football ni mimi...
Hakika mkuu kama jana kafanya unyama sanaHiki kiumbe hakielezeki, yani anafanya vitu ambavyo havijawahi kufanywa na player yeyote yule...
Pele ameanzisha mgogoro mkubwa,amesema Messi hawezi kuwa all time great sababu anapiga mguu mmoja na hawezi head the ball
Hakika mkuu kama jana kafanya unyama sana
youtube tu, unasearchApp ipi hiyo mkuu?
Nilikuwa na mheshimu sana Pele ila kwa kauli ile nimemchukukia sana. Yaani unatia chembe ya shaka ktk ubora wa Mfalme wa mpira duniani??? Unaanzaje kwa mfano!!! "Kenchy type"....
youtube tu, unasearch