FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Kumbe nawe umeona hiyo. Messi10 alikuwa apate goli but siyo ishu sana kwa kuwa tushachukua pt 3 muhimu. Sevilla akisinzia tu tunarudi zetu juu.Messi alikuwa ana nafasi nyingi za kuscore sema wanambania pasi...dembele anataka yeye tu afunge, hili ndiyo tatizo
