Kabisa Mkuu....ma CBs wanatuzingua sana. pumbavu zao. Tumepigwa goli 19. Aibu sana.
Vihi Arthur vipi wakuu?
Ni majeruhiVihi Arthur vipi wakuu?
Hv huyu refa mnamuelewa kwelTumeaza kupoteza mpira sasa
HahaaaaaHv huyu refa mnamuelewa kwel
Goal lake ni la viwango vya chuo kikuu cha havardAlena anafunga biashara hapa. 2-0
Dembele kaupiga mwingi sana leo.
Nataka awe ana jiamini kama Leo. Kacheza poa sana Leo...Dembele kaupiga mwingi sana leo.
Leo tena tuko uwanjani ushindi kama kawaida. Messi to score
Alena anafunga biashara hapa. 2-0
😂😂😂😂ma CBs wanatuzingua sana. pumbavu zao. Tumepigwa goli 19. Aibu sana.