GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Midfielder ndio tatizo namba moja, sio wabunifu hawawezi piga penetration passSijui nini shida maana siku hizi sisi ndio tumekua watu wa kutafuta droo au tukishinda tunashinda kimazabe mazabe tu
Midfielder ndio tatizo namba moja, sio wabunifu hawawezi piga penetration passSijui nini shida maana siku hizi sisi ndio tumekua watu wa kutafuta droo au tukishinda tunashinda kimazabe mazabe tu
Sometimes tunavyocheza waga nacheka tu.. Tungekutana na timu mabingwa wa kuadhibu dakika zile za mwishoni tungeisoma namba...Tulipoteza mipira sana tena eneo la hatari....
Kweli cleansheet imekua ni msamiati ambao ata tumesahau maana yake ni nini sasa


Kweli Mkuu.... Labda tusubiri mabeki wetu warecover from injurySureWATCH: Lionel Messi beats five PSV defenders to score Barcelona's opening goal | FOX Sports Asia
Itachukuwa karne nyingi mno kumpata kiumbe kama huyu kuwahi kutokea.
Haha uzuri binadamu tuna sense ya kusahau na kuacha yapite...Yess, siku akistaafu Huyu kiumbe kuna uwezekano nikaacha kabisa kushabikia mpira...
Mkuu ni kweli tuna tatizo la midfielders pale Barca?Midfielder ndio tatizo namba moja, sio wabunifu hawawezi piga penetration pass
😀😀😀 Timu inatupa tabu sana ata game kuangalia sasa mtu unakua na woga tuBinafsi napendelea tucheze ile game yetu yani tunasumbua kiwanja tunafunga na wapinzani wanapata tabu mpaka unatamani game isiishe yani. Mi Barcelona ya kutafuta matokeo hiyo mi hapana
😀😀😀 Timu inatupa tabu sana ata game kuangalia sasa mtu unakua na woga tu
Ndio, tatizo lililopo sio creative, mpira haiendi mbele. Tuna midfielder wanao fight nasio last pass makersMkuu ni kweli tuna tatizo la midfielders pale Barca?
Tumeruhusu magoli mengi mno. Magoli 19 ni aibu kubwa kwa beki ya barca. Na wale vibonde wanatukaribia kwa kasi. Saa hizi tulitakiwa kuwa point hata 12 mbele.Leo angalau tupate cleansheat aisee tumeruhusu magoli sana