FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Terminator
IMG_20181129_044517.jpeg
 
Wakuu tumeona kilichotokea, sawa tumeshinda lakini

Tumepata tabu sanaaaa

tumeburuzwa sanaaaa

Tumeteseka sanaaaa

Big Up kwa Vidal jamaa ni mtu kapiga kazi sanaaaa, Mess kafunga goal katika mazingira ya kutatanisha sanaaa, Denis anasugua bench mpaka anasahau mpira unachezwa vipi

Kipindi cha mwishoni walitukamia sana hadi pumzi zikatuishia 😀
 
Sijui nini shida maana siku hizi sisi ndio tumekua watu wa kutafuta droo au tukishinda tunashinda kimazabe mazabe tu
Huku kuruhusu magoli hasa mwanzoni mwanzoni mm sikupendi.... Unakuta baadaye mnakumbana na milima miwili, ku-equaliser na kutafuta ushindi... Halafu kama madogo wanakamia ndo mambo yanakuwa ovyo zaidi...
I don't know how many cleansheets do we have this season...
 
Kweli cleansheet imekua ni msamiati ambao ata tumesahau maana yake ni nini sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom