FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Umtiti aliumia jana goti mazoezini. Hivi wakuu magoli mengi tunayopigwa ni kwamba Lenglet ameshindwa kuvàa viatu vya Umtiti?
Mkuu
N kwel magoli tunayofungwa recently yanatokana na makosa ya lenglet au baba shakira???

Lenglet yupo vzr indeed
 
Wakuu tumeona kilichotokea, sawa tumeshinda lakini

Tumepata tabu sanaaaa

tumeburuzwa sanaaaa

Tumeteseka sanaaaa

Big Up kwa Vidal jamaa ni mtu kapiga kazi sanaaaa, Mess kafunga goal katika mazingira ya kutatanisha sanaaa, Denis anasugua bench mpaka anasahau mpira unachezwa vipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom