Exactly, team yetu iko somehow overcrowded upande wa kushoto.
Hata Messi siku hizi hachezi kulia tena, tangu Iniesta aondoke Messi amekua akizama deep in the midfield na sometimes utamkuta upande wa kushoto.
Huko huko utakuta yuko Alba, yuko Coutinho pia. Ile overlaping inakua inamruhusu Alba kuingia deep in the enemy territorry, akijua kuna watu wa kumcover!
Meanwhile, Semedo anaweza kuddrible peke yake mpaka kwenye kibendera na akakosa mtu wa kumpasia. Wakati huo anajua hana cover up ya nguvu huko alikotoka, ndio maana anaamua kuplay it safe.
Semedo hua anatakata zaidi akiwa na Dembele, atleast hua wanapeana through balls na speed zao zinamatch.
Najua Jackline 1 anatamani kuona Semedo akiunda combo kama la Dani Alves, jamaa anao uwezo ila bado hana partner. Messi amehamia kati!