FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu dogo amekua game changer. When we want the results, he comes to the resque!

Hahitaji kufunga kila siku, but he scores when it matters the most!

Gracias Mosquito!
IMG_20181125_122033.jpg
 
Mimi naona Semedo contribution yake kule mbele inabidi iongezeke-yuko safety first approach kupita kiasi-J Alba kakabwa sana inabidi Semedo apande sana-but i dont see this-na mipira mingi anatoa pass za nyuma
 
Klabu ya Arsenal imeanza mazungumzo na Barcelona kuhusu uhamisho wa mshambuliaji kinda kutoka Ufaransa, Ousmane Dembele.

Arsenal inataka kumsajili mshambuliaji huyo mwenye miaka 21, hajafanikiwa kupata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha Barcelona huku mfumo wake wa uchezaji ukionekana kuwa kikwazo.

Dembele anatumia zaidi mfumo wa kukimbiza wakati Barca mfumo unaotumika ni wa pasi fupifupi hivyo kujikuta akishindwa kuendana nao.

Inasemakana Barcelona imepanga kumuuza mshambuliaji huyo ili kutoa nafasi kwa Neymar, aliyeomba kurudi baada ya kuihama mwaka jana na kushindwa kupata ufanisi alioutaka ndani ya PSG ya Ufaransa.

Kocha Ernesto Valverde, amekiri kuwa Dembele licha ya umahiri wake lakini ameshindwa kuendana na mfumo wa Barcelona.

Hata hivyo Arsenal watakuwa na kazi pevu ya kumshawishi mshambuliaji huyo ambaye amesema bora arudi zake kuitumikia timu yake ya zamani ya Borussia Dortmund ya Ligi Kuu Ujerumani.
 
Wanasemaga kazi ya shabiki ni kushangilia timu yake au kuzomea timu pinzani ila kwa hii kauli ya huyu kocha wetu anazingua bhana mfumo kitu gani mtu anatuokoa kila siku mbona hao wachezaji wanaoendana na mfumo wanashindwa kupindua matokeo pindi tunapokua kwenye hali tete?

Huyu jamaa akiondoka Barca itaniuma sana
 
Na kumrudisha neymar barca ni kosa kubwa.

Hizi ni transfer speculations tu, hazina ukweli. Vile Neymar alivyoitibua bodi ya Barca wakati anaondoka bado unaamini atarudi tena Camp Nou?

Similar Discussions

Back
Top Bottom