mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Check apo mkuuSijaelewa mfumo wa leo, Roberto atacheza wapi
Check apo mkuuSijaelewa mfumo wa leo, Roberto atacheza wapi
Huyo Shaffih kampamba vyema kabisa King
Habari njema sana hiziMadrid ana hali mbaya huko 😀😀 kishapigwa goli 3-0 na Eibar, dakika ya 85 now
Bora Umtiti karudiBarca XI Vs ATMView attachment 945244
Kuna kijana wetu huko Eibar anaitwa Cucurella nasikia kawanyanyasa sana MadridAdui yako muombee njaaView attachment 945034
Yaahh akiwa fit kabisa hapa hakuna wasiwasiBora Umtiti karudi
Check apo mkuuView attachment 945253
Bora Umtiti karudi
Hahah kama kweli hasira za Madrid zitahusika hakika atakua bora istoshe siku za karibuni mchango wake katika timu umeonekanaVidal anaanza jamaa mwenye allergy na neno madrid .... Hakuna mzaha kabisa...
Dogo kazingua mwenyeweI feel sorry for Dembele match kama hii ndio alitakiwa awe ufunguo kule mbele