DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,184
- 2,597
Huyo Shaffih kampamba vyema kabisa King
Hahaa kabisa
Huyo Shaffih kampamba vyema kabisa King
Yaani huyu Suarez leo mpira umemkataa kabisa, hebu ngoja nimsubiri kipindi cha pili huenda akabadilika
Kaumia mkuuVipi tena Sergi Roberto!
Lkn pia Rafinha hakupaswa kumkaba CostaCosta mpambanaji sana.
Hauko serious mkuu!Natamani sana Lcardi aje barca, suarez sometimes anaharibu
Jamaa wamepiga buti sana, Vidal kavumilia mwisho akachoka akaamua kuwatembezea na yeye!Hii game refa kajitahidi sana kutotoa red card so far.
Huyu jamaa nae leo kaupiga sanaaaRafinha ni mzuri sana kwenye kushambulia.
Hahah kama mvinyo tuUyu Sergio busqet anavyozeeka ndio anazid kuwa mtamu
Game ilikua bado haijaanza?Hawa wapumbavu wa River plate wamefanya vurugu mechi imehairishwa.Wanaondoka uwanjani kwa huzuni. Mechi mpaka manana(kesho)