FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Liva bana
IMG_20181121_211301.jpeg
 
Mkuu! Game itapigwa tarehe 24, saa 22:45
Ambayo ni kesho hiyo Jmosi....

Hii game itabidi niiangalizie nyumbani tu maana nikienda kwenye vijiwe vyetu vya kutizamia soccer mambo yakaenda ndivyo sivyo nitarudishwa home nikiwa nimebebwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom