Barca Batesdaaaaaaah...................................................
kwanini lakini hawa watoto tuliwaachia wachezee sharubu
View attachment 930121
Hiyo game ni chepesi sana, mkuina ukizingatia zaidi gem inayokuja tunaenda kwa atletico na uchezaji wenyewe ndio huu tutakula nyingi
messi hakupaswa aanze hii gem alitakiwa aingie kipindi cha 2
Huyu dogo ana baadhi ya match halafu nikashangaa sub haijamhusuSijawahi kubali Roberto kuwa fullback. Tulilia tunatafuta fullback. Tukampata Semedo halafu tunampiga bench. Betis walijua udhaifu wetu. wametusakama kule kulia vibayaa mno.
Yah, Timu pinzani ikishakuwa na winger wenye spidi mambo yanakuwa magumu sana.Huyu dogo ana baadhi ya match halafu nikashangaa sub haijamhusu
unataka kunambia ATM wabovu kulikp real betisHiyo game ni chepesi sana, mkui
Barça wanapocheza na big team, Wanakuwa vizuri Sana kuliko Hivi vitimu vidogo. Kwahiyo atletico Madrid Siyo issue kihivyounataka kunambia ATM wabovu kulikp real betis
Barca kwenye game kubwa huwa wanacheza sanaunataka kunambia ATM wabovu kulikp real betis
Barça wanapocheza na big team, Wanakuwa vizuri Sana kuliko Hivi vitimu vidogo. Kwahiyo atletico Madrid Siyo issue kihivyo
messi hakupaswa aanze hii gem alitakiwa aingie kipindi cha 2
na ukizingatia zaidi gem inayokuja tunaenda kwa atletico na uchezaji wenyewe ndio huu tutakula nyingi
Kabisa Mkuu.Sijawahi kubali Roberto kuwa fullback. Tulilia tunatafuta fullback. Tukampata Semedo halafu tunampiga bench. Betis walijua udhaifu wetu. wametusakama kule kulia vibayaa mno.