Olais_maasai
Member
- Sep 19, 2012
- 52
- 65
6VP wakuu, kwa kikosi hiki, tunashinda ngapi Leo ?
6VP wakuu, kwa kikosi hiki, tunashinda ngapi Leo ?
Huko kunamfaa Zaidi,mfumo wa Barca kashindwa kuusomaYeah, yupo kwa mkopo ila "Sky Germany" wanadai kuwa tayari kasha saini mkataba wa miaka 4 na BVB ili kujihakikishia kuwa anabakia hapo moja kwa moja kuanzia msimu ujao. Na kwamba, kama iko hivo Barcelona hatutakuwa na namna yoyote ya kuzuia uhamisho wake. Nimeikuta"Barcelona Live App" kama jinsi inavyosomeka hapa chini:-
"According to Sky Germany, the striker has already signed a four-year contract with Borussia Dortmund which ensures his permanent transfer for the next season. Barcelona, meanwhile, can do nothing to prevent this move, as soon as BVB activate Alcacer's €23m buyout clause".
Hii game malcom aoneshe potential amprove wrong kocha, golden chance kwake nje ya apo ata support ya mashabik ataikosaLeo mimi namtazama Malcolm tu nione/nihakikishe kama ni kweli coach hakustahili kumuweka bench
Itakuwa poa kinoma...
Kabisa MkuuHii game malcom aoneshe potential amprove wrong kocha, golden chance kwake nje ya apo ata support ya mashabik ataikosa
Kweli kabisa,Huko kunamfaa Zaidi,mfumo wa Barca kashindwa kuusoma
All eyes on Malcom Leo....Leo mimi namtazama Malcolm tu nione/nihakikishe kama ni kweli coach hakustahili kumuweka bench
Du hako ka buy out kauongo kishenzi.Yeah, yupo kwa mkopo ila "Sky Germany" wanadai kuwa tayari kasha saini mkataba wa miaka 4 na BVB ili kujihakikishia kuwa anabakia hapo moja kwa moja kuanzia msimu ujao. Na kwamba, kama iko hivo Barcelona hatutakuwa na namna yoyote ya kuzuia uhamisho wake. Nimeikuta"Barcelona Live App" kama jinsi inavyosomeka hapa chini:-
"According to Sky Germany, the striker has already signed a four-year contract with Borussia Dortmund which ensures his permanent transfer for the next season. Barcelona, meanwhile, can do nothing to prevent this move, as soon as BVB activate Alcacer's €23m buyout clause".
Hapa coach anazingua anawachezai wengi kila siku anang'ana sasa mda mwingine wanchokaKama squad nzima inamtegea messi
Yaani, tukiendelea kucheza hivi hivi 2half, Leo ni aibu...Are we being roasted alive
Ngoja tuone kama ataweza ku-fix 2half...Valverde ajiangalie sana,