Jack kwani Valdeve ana ugomvi gani na Denis Suarezright back amekuwa exposed sana-kuna midfield imekuwa haifanyi kazi sawasawa
Naona kama Roberto ndiyo hafanyi kazi yake. Ukiangalia magoli yote yametoka huko.right back amekuwa exposed sana-kuna midfield imekuwa haifanyi kazi sawasawa
Where is dembele
Naona kama Roberto ndiyo hafanyi kazi yake. Ukiangalia magoli yote yametoka huko.
Tuna shida nyingi kwenye hii mechi. ukicheki winger zote zimekufa. Tunalazimisha kupita katikati tu.Messi hakabi mjomba, kwa mazingira hayo lazima Rakitic azidiwe na madogo waachiwe pockets of space za kuuchezea mpira
