FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Game ya Napoli na PSG tam sana najuta kupoteza 45 za First half kuangalia game ya Barça ya upande mmoja
Umeona Psg walivyopumuliwa mpaka jamaa wamepata goli la kusawazisha, sahivi naona ndio wanadominate ila hali yao ilikua mbaya
 
Maaeeeeeh huu ukuta wetu huu siku hizi hawawezi kucheza bila kuruhusu
 
Sijui kachoka. Ukiona anainama anashika magoti ujue pumzi inashida.
Naona wanamuamini kutokana na uwezo wake kwamba muda wowote anaweza kufanya kitu, ila ningekua mimi kocha natoa natia ndani ata Munir
 
daaah!!!!!!! dembele anashindwa kabisa ku utilise speed yake
Dembele mbona kacheza vizuri sana,katengeneza chance nyingi za goli kajaribu mara kibao...labda kuna vitu vichache bado anakosa ila game ya leo namuona akiendelea kuimprove zaidi....afu sijui kwa nini suarez hampi pasi dembele nafasi nzuri mweisho wa siku anapoteza mipira....coutinho kacheza fresh sana ila suarez flop leo
 
Valverde's changes:

#BarçaMadrid
@arthurhromelo @kingarturo23
@kingarturo23

#CulturalBarça
#Cuenca @clement_lenglet
@clement_lenglet

#RayoBarça
Rafinha @Dembouz
@Dembouz

#InterBarça
@Dembouz #Malcom
#Malcom
 
Kikosi cha kesho
IMG_20181110_170833.jpg
 
jamani nauliza paco alcaser ameenda kwa mkopo dortchmund au mkataba kamili maana jana kamdhalilisha neur vibaya mnoo
Yeah, yupo kwa mkopo ila "Sky Germany" wanadai kuwa tayari kasha saini mkataba wa miaka 4 na BVB ili kujihakikishia kuwa anabakia hapo moja kwa moja kuanzia msimu ujao. Na kwamba, kama iko hivo Barcelona hatutakuwa na namna yoyote ya kuzuia uhamisho wake. Nimeikuta"Barcelona Live App" kama jinsi inavyosomeka hapa chini:-

"According to Sky Germany, the striker has already signed a four-year contract with Borussia Dortmund which ensures his permanent transfer for the next season. Barcelona, meanwhile, can do nothing to prevent this move, as soon as BVB activate Alcacer's €23m buyout clause".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom