FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hahahahaaaaaaaa jana wakati naangalia mechi ya barcelona maeneo fulani nilikuwa nimekaa pamoja na kijana ambaye anaonekana ni muathirika wa ulevi wa kiswahili (gongo kali) basi baada ya lionel messi kufunga goli lake la 32 dhidi ya sevilla aliuliza swali moja la ajabu sana lililofanya wadau wote wanaoipenda barcelona na wanaoichukia barcelona wacheke kama vichaa.
aliliza swali lifuatalo:-

"hivi jamani hawa waandishi wa habari wa ulaya mpaka leo wameshindwa kuwafanyia mahojiano wazee wake lionel messi na kuwauliza walikuwa wanatumia chakula gani nyakati za usiku kabla hawajaingia kwenye pambano la kumtafuta mtoto lionel messi, kama walikuwa wanakula chipsi mayai nyakati za usiku basi watwambie na sisi wengine tujishindilie chipsi kabla hatujalala na wake zetu ili tupate mtoto mwenye kipaji kama Lionel messi".

baada ya dakika tatu mungu wa mpira akapata majeruhi kwa hali ilivyo inaonekana kuna malaika alichukizwa na kauli ya mlevi yule, na mimi nikaamua kwenda nyumbani kulala nilijihisi kama nitapoteza muda wangu kuangalia mechi bila ya sheikh messi kuwepo uwanjani.

nimebaki najiuliza muda huu kwa kipindi cha wiki tatu ambazo mungu wa mpira atakuwa likizo je ni nani atakayeuendesha ulimwengu wa mpira?
1540121625769.png
 
View attachment 906003
Dah nimecheka sana
 
Dembele could be their biggest nightmare!

Dembele huu mfumo wa Barca unamsumbua nini? mbona anapoteza sana mipira?
Semedo naona he is getting there
Suarez lead the line well,ispokuwa nahisi someone has stolen his scoring boots
Ter Stegen naona hana mpinzani kwenye sayari hii
Timu yoyote itakayokuja na attacking soccer Barca will always come up tops,tatizo ni team zinazo park bus na kuvizia counter attack
 
Dembele namuonea huruma maana hata wale tuliopenda sana, tunaaza kupata wasiwasi.
Natamani kocha kwa kipindi hiki akae nae chini amwambie nakuamini na inabidi aibebe team.
A mwambie ongeze passing accuracy
 
hahahahaaaaaaaa jana wakati naangalia mechi ya barcelona maeneo fulani nilikuwa nimekaa pamoja na kijana ambaye anaonekana ni muathirika wa ulevi wa kiswahili (gongo kali) basi baada ya lionel messi kufunga goli lake la 32 dhidi ya sevilla aliuliza swali moja la ajabu sana lililofanya wadau wote wanaoipenda barcelona na wanaoichukia barcelona wacheke kama vichaa.
aliliza swali lifuatalo:-

"hivi jamani hawa waandishi wa habari wa ulaya mpaka leo wameshindwa kuwafanyia mahojiano wazee wake lionel messi na kuwauliza walikuwa wanatumia chakula gani nyakati za usiku kabla hawajaingia kwenye pambano la kumtafuta mtoto lionel messi, kama walikuwa wanakula chipsi mayai nyakati za usiku basi watwambie na sisi wengine tujishindilie chipsi kabla hatujalala na wake zetu ili tupate mtoto mwenye kipaji kama Lionel messi".

baada ya dakika tatu mungu wa mpira akapata majeruhi kwa hali ilivyo inaonekana kuna malaika alichukizwa na kauli ya mlevi yule, na mimi nikaamua kwenda nyumbani kulala nilijihisi kama nitapoteza muda wangu kuangalia mechi bila ya sheikh messi kuwepo uwanjani.

nimebaki najiuliza muda huu kwa kipindi cha wiki tatu ambazo mungu wa mpira atakuwa likizo je ni nani atakayeuendesha ulimwengu wa mpira?
View attachment 906003
Hahaaaa
 
Dembele, hatadumu Barcelona otherwise he should change the way he plays, anapoteza mipira mno, alfu katika ku defence yupo very weak. Even though the fans are chanting when he has the ball, but the fact is jana nlimuona Ernesto Valverde akiwa amekasirika the way Dembele alivyokuwa anacheza. Neither Coutinho nor Dembele has played his maximum game
 
Dembele huu mfumo wa Barca unamsumbua nini? mbona anapoteza sana mipira?
Semedo naona he is getting there
Suarez lead the line well,ispokuwa nahisi someone has stolen his scoring boots
Ter Stegen naona hana mpinzani kwenye sayari hii
Timu yoyote itakayokuja na attacking soccer Barca will always come up tops,tatizo ni team zinazo park bus na kuvizia counter attack
Kuna ile header aliyoicheza McAndre, it was totally out of this world.

Dembele is a good attacker but hana ile La masia DNA na alikotoka haikua style yao pia. Ndio maana anapata shida kulipiga tiki taka.

But ana vitu vingine crucial and with time, naamini atazoea. The lad is just 20 yrs.

Wabrazil wenyewe hawapati shida kuassimilate the Catalan style sababu wanapiga samba tangu utotoni huko.

Huyu Suarez hata sielewi kapeleka wapi shabaha yake!
 
Mbappé : "For the better or worse, age is not an excuse, I assume my responsibilities". Unreal mentality and maturity.

In the meantime some Culés still call Dembélé (3 years older) "baby Ousmane", want him protected and find excuses for his constant underperformances.

Watch out guys
 
Mbappé : "Age doesn't mean a thing. If you're good, you show it on the pitch & assume your responsibilities. If you're not good enough, you stay on the bench & shut up. [...] Don't talk to me about age. Talk to me about football & level of performances"
 
Dembele, hatadumu Barcelona otherwise he should change the way he plays, anapoteza mipira mno, alfu katika ku defence yupo very weak. Even though the fans are chanting when he has the ball, but the fact is jana nlimuona Ernesto Valverde akiwa amekasirika the way Dembele alivyokuwa anacheza. Neither Coutinho nor Dembele has played his maximum game
Mi naamini na kila siku nasema humu, Dembele akichezeshwa kulia na nyuma awepo RB mwenye kasi kama Semedo anakuwa moto mkubwa sana. wamuache azoee RW tutaona moto wake. Kwenye kudefend yuko weak lakini bado ni moto sana kwenye kuattack.
 
Akipangwa mechi na inter itabidi ajitoe kweli aisee lasivo benchi ataliona chungu
 
"Dembele has to step up to the plate today,anything short he will be crucified alive" Gazette la Spain hilo.
Opponents today have a knack of closing down teams-Barca must be alert throughout
Hopefully Suarez starts banging them goals for fun-its been long time coming
Bearing a miracle Barca will see this game through
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom