Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Alikuwa anakosamtu wa kulink naye. Ila wakiwa na Dembele wanaelewana sana.Semedo yupo vizuri sana pia angekua na maujuzi zaidi ya kutamba kwenye zone ya wapinzani eidha kufunga au kuassist angetisha zaidi