BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Poa, tuko pamoja mkuu!Pia nashukuru Mungu niko sawa mkuu
Poa, tuko pamoja mkuu!Pia nashukuru Mungu niko sawa mkuu
InshaalahBarca 3-0 Sev
Kutoka kwa Messi kumenifanya nighairi kutazamaMessiiii
Dah nimeumia sana...Messi katoka kaumia mkono.Inaonekana hali ni tete labda tutamkosa el vlasdico na inter. Dembele anaingia
Utakuwa umekuja na Messi kwenye team weweKutoka kwa Messi kumenifanya nighairi kutazama
Huyu kiumbe leo kanionyesha maajabu mengine. within 17 min.. 1 goal 1 assistMessiiii
Ilionekana ingekua hivyo lakini kutoka kwa Mess naona imebadirisha kabisa hali ya mchezoleo biashara itakuwa nzuri.
Hatari sana
Semedo yupo vizuri sana pia angekua na maujuzi zaidi ya kutamba kwenye zone ya wapinzani eidha kufunga au kuassist angetisha zaidiwakuu mmeonahiyo link ya Dembele na Semedo!!!!!. classic.
Hapana mkuu usifanye hvyo, tumuombee tu hii team inahitaji support yetuKutoka kwa Messi kumenifanya nighairi kutazama