FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona hawata badilisha nembo ya team
Screenshot_2018-10-20-18-12-17.jpg
 
La liga Champion contenders.
1. Atletico Madrid
2. Sevilla.
Huu ni msimu wa El chollo na Atletico Madrid yake baada ya real Madrid na Barcelona kushuka viwango. Laliga sasa si ya timu mbili tena ni zaidi ya 4. Yoyote yule kati ya hizi nne anaweza kunyanyua kwapa. Nimefurahia hii kitu kwa kweli. Zile falme mbili za Catalona na Madrid zinaanguka.

Atletico Madrid kwa miaka ya karibuni ilikuwa na timu nzuri lakini ilishindwa kushindana na Real na Barca kwa sababu ya ubora wa hivyo vilabu viwili.

Zama za kina barca na Madrid unaenda ikifika mwisho.
Ni upepo mchafu tu mkuu unapita na huwa inatokea ila kusema kabisa eti zama zinapita sio kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom