Nakubaliana na Wewe, wako kwenye form ya kiwango cha standard gauge!!!View attachment 890154
Hiyo form ya Sevilla ni hatari sana. Cheki na magoli yao. Hawa jamaa ni serious contender msimu huu.
ungeficha ujinga wako mkuuHivi kumbe Barcelona ina mashabiki hapa bongo
Hahaaaa naona unafrahia, lkn tutaamka tu. Makocha wanatuangusha sana.LALIGA inafurahisha sana msimu huu vigogo vyote chali kwa mara nyingine
Kocha anamuogopaje Luis suarezHahaaaa naona unafrahia, lkn tutaamka tu. Makocha wanatuangusha sana.
Mfano Barca, kocha nadhani anamuogopa Suarez
Habarini Wakuu!!!
Naomba msaada ktk ishu hapa chini:-
Nili uninstall jf app kama wiki 1 hiv iliyopita kisha nikaipakua tena play store.
Chakushangaza ni kwamba, zile emoji/vibonzo sivioni/nashindwa kuvipata wakati napotaka kuvitumia. Sasa najuliza labda ktk hii version yao mpya (jf app) walisahau kuweka (hizo emoji) au mwenyewe ndiyo sijajua pakuzipata wakati napotaka kuvitumia?.













Yeah man! Sivioni vilipo hivi vidude!!!
Like this?
Download keybord app yenye emoji then uiset as default keyboard.Yeah man! Sivioni vilipo hivi vidude!!!




Keyboard yenye emoj ndio suluhu ya shida yakoYeah man! Sivioni vilipo hivi vidude!!!
OK sawa, ngoja niicheki hiyo...Download keybord app yenye emoji then uiset as default keyboard.
Thank me later!
![]()
Sawa MkuuKeyboard yenye emoj ndio suluhu ya shida yako
Hana udambwi dambwi ka wa iniesta yule ni kama xavi mzee
wanasikitisha sana sasa hivi vigogo wote viwango vyao vimeshukaKuna ups and down, lkn sio kuwa kiwango kimeshuka kwa kiasi hichoUbora wa vigogo wa LALIGA ndio ubora wa timu ya taifa Spain![]()
Spainwanasikitisha sana sasa hivi vigogo wote viwango vyao vimeshuka