Wanatakiwa wamsugulishe nae sasa wampe nafasi Munirbado mi nalia na Suarez. Hatufai kwasasa
Vijana sijui wamekula nini tu, wanatunyima rahaCOUTINHO goal ya wazi analala usingizi
Aibu yetuView attachment 890154
Hiyo form ya Sevilla ni hatari sana. Cheki na magoli yao. Hawa jamaa ni serious contender msimu huu.
Hahahah.....huyu suarez haifai kupewa dakika 90 namshangaa sana kocha cjui anamuogopa asije kumn'gata
Wapo mkuu. Na RM nao walikuwa na mashabiki ila wamehamia Juve.Hivi kumbe Barcelona ina mashabiki hapa bongo
hahhaahahahahaWapo mkuu. Na RM nao walikuwa na mashabiki ila wamehamia Juve.
Hapana sisi tuna toka Sayari nyingine, kwa mtazamo wako unatuona sisi kama wa bongo?Hivi kumbe Barcelona ina mashabiki hapa bongo
Hili swali nilijiuliza zamani sana, nikasema labda na ulaya wanakula rushwaKwan valverde amekatazwa labda kumtoa suarez au
Maana n kama tuliingia nae mkataba kuwa awe kiporo au awe uozo basi lazima acheze.