FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Ni nouma, ana goli 7 tayari wakati game zote hizo katokea benchi...Kwema.
Naona Paco Alcacer anawasha moto huko farmers league!
![]()
Ni nouma, ana goli 7 tayari wakati game zote hizo katokea benchi...Kwema.
Naona Paco Alcacer anawasha moto huko farmers league!
![]()
PNC hajawahi onekana humu mkuu, kama mnaonana mwambie akuje hukupnc naomba unichek inbox
Inabidi kesho kwetu tumfukuze kabisaNaona kwa watani huko bado pepo mchafu anatamba
Hakika mkuu maana ananyemelea kote kote na kesho game yetu ina ugumu kidogoInabidi kesho kwetu tumfukuze kabisa
Match ya kesho tutashinda mkuu wala sina wasiwasi kabisaHakika mkuu maana ananyemelea kote kote na kesho game yetu ina ugumu kidogo
Amen... Itakua poa sana King Leo akitupa maana list ya wafungaji kwa sasa haina muonekano mzuri kabisaMatch ya kesho tutashinda mkuu wala sina wasiwasi kabisa
Ni Araveshuku leganes ashatembeza kichapo
Kwema.
Naona Paco Alcacer anawasha moto huko farmers league!
![]()
Valvede ni mwoga sana wa kufungwa, lkn na wachezaji wetu wengi umri umeaza kuwatupa mkono kwahiyo hawawezi kuwa fit match zoteMagazeti ya Spain yamemshauri Velverde,afanye kila awezalo flanks zote mbili za Barca zishinde katika half ya maadui-yamedai kufungwa ni bahati mbaya na defensive principles hazimo kwenye katiba ya club-Lengo sio kutofungwa bali ni ku outscore the opposition kama alivyofanywa Spurs
Mkuu pia mifumo ya team uko tofauti nadhaniAmekuwa super sub, nahisi alipoteza confidence kwa kiasi kikubwa sana alipokuwa nasi. Borrsusia Watamfanya awe bora zaidi.
Pia kuchezea Barca au kuwa coach ni pressure sana wenyewe wana sema is too demanding.Amekuwa super sub, nahisi alipoteza confidence kwa kiasi kikubwa sana alipokuwa nasi. Borrsusia Watamfanya awe bora zaidi.
Nilitamani leo Suarez nae apumzikeFirst 11 vs Valencia tonight View attachment 890008