Ule udambwidambwi wa Iniesta upo kwa Coutinho ila Coutinho ni fundi Wakuu, angekaa Barca tangu utotoni angefunika legacy ya Iniesta.Hana udambwi dambwi ka wa iniesta yule ni kama xavi mzee
Ule udambwidambwi wa Iniesta upo kwa Coutinho ila Coutinho ni fundi Wakuu, angekaa Barca tangu utotoni angefunika legacy ya Iniesta.Hana udambwi dambwi ka wa iniesta yule ni kama xavi mzee
Hua unaangalia mpira au hua unasikiliza redioni?Nipo serious mkuu, dembele ni zaidi ya cotinho
Kwenye beki Mkuu hatujatulia bado pasipo kuwepo kwa Umtiti, nilitegemea kocha angemueka Vermalen.1. Uyu Arthur namuona Xavi kabisa mana ni box to box midfielder kama Xavi zile kampa kampa tena anazijua balaa. Ubora wake ni mzuri mno kwenye pasi fupi za kampa kampa tena ila mapungufu yake ni sio mzuri kwenye penetration pass na pass ndefu.
2. Beki za kati Lenglet na Pique mh ngoja tusubiri muda utaongea
3. Kipa tunae mzuri mno uyu Van Ter Stegen
4. Coutinho anaanza vizuri ila kipindi cha pili jana alikua anazingua tu.
Yamkini upo usingizini, amka.Coutinho anaachia mipira, namuonaga kama anabahatisha tu. Bora ya dembele kuliko huyu mbrazili hafai
Mimi nimemjibu kuwa huenda akawa bado yupo usingizini.Mkuu uko serious au unatania?
Coutinho hafai? Au nimeelewa vibaya?
Hapo sasa tumeelewa.Huyu jamaa ni hater wa Brazilian vibaya mnoo.
Mkuu naona umekuja na ID nyingine sio!Huyu jamaa ni hater wa Brazilian vibaya mnoo.
Kwanini mkuu??Mkuu naona umekuja na ID nyingine sio!
Poa mkuu, nitakuwa nimekufananishaKwanini mkuu??
Angalia nimejoin Jf tangu Lin.
Me huwa sina hizo mambo za kuchange ID aisee.
Mkuu upo, kwema?Match za laliga tulipoteza kwa sababu ya wrong selection
Kwema.Wakuu habari yenu




Bora hatukumuuza mazima.Kwema.
Naona Paco Alcacer anawasha moto huko farmers league!
![]()
Amekua mtamu si mchezo!Bora hatukumuuza mazima.
Jamaa yuko vizuri sana sijui ilikuaje akaondoka spainKwema.
Naona Paco Alcacer anawasha moto huko farmers league!
![]()
Akimaintain tutamrudisha!Jamaa yuko vizuri sana sijui ilikuaje akaondoka spain