Moja ya sifa za Barcelona ni flexibility ndio maana inabadilika na team na match inayocheza ;Nyuma ya velverde kuna tactical team ambayo inahakikisha wachezaji Psychologically na Physically wanakua fit ili waendane na tactics za mchezo husika
Thats why line up inaweza ikabadilika ku fit adoption ya match husika na kwakua wao wanawajua wachezaji zaidi yetu inakua tu rahisi kuweka first option hadi ya mwisho
Style ya mchezo wa jana tulihitaji watu wanaokaa na mpira na high possession pale katikati..ndio maana sikushangaa jina la Arthur Melo kuingizwa kwenye first line up na Dembele akaambiwa akae kama sub :
Weakness ya Tot ni kutamani kucheza kwa ku possess kama tulivyozaliwa tunafanya sisi uzawa wa lamasia(Barca style) ku anticipate aggressive style yao ya ku attack tulitakiwa tuwe na mtu ambaye ana pure characters za ku defend kushinda hata anavyo attack ..hapo jina la Semedo Nicholas likaingia tu bila kupingwa ,especially kwa style ya Tot ya kushambulia sana kupitia pembeni kwa Herry Kane na Eric Lamela hapo ndipo spurs walipoishiwa pumzi hadi first half yote hawakuweza kutekeleza plan yao na wachezaji wao wakapata frustration ya kutogusa mpira wengine hata ikizidi muda wa dakika 10
What we needed is to stress centrally and kicking piercing balls ...hili Messi alilielewa mapema... Busquets akisaidiana na Rakitic walikua wanapiga lower ,uppers zikiwa zinachukuliwa na Messi nankupiga mipira ya mwisho .
Kuna kitu commentor wa Ss5 alikua haelewi akawa anaropoka anasema is Messi a play Maker ,a passer or finisher?mwisho wa matches alipata majibu yote kuwa Messi ana qualities zote za mchezaji wa mpira wa kiwango cha perfection.. ndio maana kila mchezaji wa mpira na anaeujua mpira Messi anamuona kama ni mtu wa mastery ya juu kabisa ya utukufu wa football :This is conditionally if only You love football and not Ribnaldo marketing
Ivan Rakitic alicheza kwenye spaces zake zote... alizozifanyia mazoezi ya game plan ndio maana ilikua rahisi tu kupiga rebound zote zilizogonga mwamba what a volley goal from a Croatian
Kutokana na mbinu za mchezo plan nyingine ya Barcelona ilikua ni kutengeneza sharp left flank ambayo ina attach aggressive huyu sio mwingine ni jamaa yake Messi dual Jordi Alba ,alichokifanya jana London hadi sasa hivi wanajiuliza is he a winger a replacement of Neymar or a left full back .. nadhani majibu ya combination waliyapata Messi alipopigiwa penetrating ball kutoka kushoto na Coutinho alipopigiwa outer ambaya kwa Qualities za Coutinho Jordi Alba alijua watoto wanachezea koki dakika ya kwanza
Thisis Barca and we believe on our Team ....we are coming for treble this year
Audious....Au revoir Enchate